Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 39)
FEATURE
on Dec 25, 2024
119 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Hussein Omary, ametoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) kuandaa mpango mahsusi wa kuongeza matumizi ya mbolea ili kuimarisha sekta ya kilimo nchini. Wito huo ulitolewa hivi karibuni wakati wa ziara yake katika ofisi za Mamlaka hiyo jijini Dar es […]

FEATURE
on Dec 25, 2024
115 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imeendelea kuchukua hatua za kuelimisha wakulima kuhusu matumizi sahihi ya mbolea na faida zake kupitia ushiriki wake katika maadhimisho ya “Ijuka Omuka” yanayoendelea katika viwanja vya CCM mjini Bukoba. Maadhimisho haya, ambayo yalianza tarehe 16 Desemba 2024, yamelenga kuwakutanisha wadau wa maendeleo katika Sekta […]

FEATURE
on Dec 24, 2024
190 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TANESCO yaunganisha Kigoma na umeme wa Gridi kupitia Kituo cha Kidahwe* Mha.Nyamo-Hanga asema Serikali kuokoa sh.bilioni 58 zilizokuwa zikitumika kwenye umeme wa mafuta* Ataja miradi mingine ya kuimarisha umeme  Kigoma* Agizo la Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt,Doto Biteko la kulitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutekeleza kwa kasi […]

FEATURE
on Dec 23, 2024
197 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) inaendelea na kampeni ya “Kijiji hadi Kijiji, Shamba hadi Shamba,” yenye lengo la kuhamasisha matumizi sahihi ya mbolea kwa wakulima wa pamba. Kampeni hiyo inayofanyika kwa kushirikiana na Bodi ya Pamba Tanzania (CBT) na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI), inalenga kuongeza uzalishaji wa […]

FEATURE
on Dec 23, 2024
136 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameainisha matukio kadhaa yaliyogusa mkoa huu mwaka 2024, akisisitiza juhudi za mamlaka kurejesha utulivu na kuboresha usalama. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Disemba 23,2024 Chalamila amesema matukio hayo yameathiri mkoa kwa namna tofauti, lakini juhudi za pamoja za […]

FEATURE
on Dec 23, 2024
197 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es Salaam, mji mkubwa na wa kihistoria nchini Tanzania, ni injini muhimu ya uchumi wa taifa. Ikiwa lango kuu la biashara kwa ukanda wa Afrika Mashariki, jiji hili lina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa kitaifa kupitia bandari yake yenye shughuli nyingi, biashara za kimataifa, na uwekezaji wa ndani na […]

FEATURE
on Dec 23, 2024
193 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kuelekea sikukuu za Chrismas na Mwaka mpya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amesema ulinzi na usalama umeimarishwa ili kuhakikisha wananchi hususani wakazi wa Mkoa huo wanakuwa salama katika kipindi chote cha sikukuu na baada ya sikukuu, pia amewataka wazazi na walezi kusimamia vema usalama wa watoto […]

FEATURE
on Dec 23, 2024
129 views 3 mins

Na Kassim Nyaki, Karatu. Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemvisha cheo na kumuapisha Dkt. Elirehema J. Doriye Kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). Akimuapisha Dkt Doriye katika hafla iliyofanyika leo […]

FEATURE
on Dec 23, 2024
119 views 53 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wageni wengi wametembelea eneo la Mnara wa Saa ” *Clock Tower* ”  kwa ajili ya kujionea taswira mbalimbali za wanyamapori pamoja na kupata elimu kuhusu umuhimu wa kijiografia wa eneo hilo. Uwepo wa Taswira za Wanyamapori ambazo zimewekwa na *TAWA* katika eneo hilo limenogesha zaidi kwa kuwavutia wageni wengi wazawa na […]

FEATURE
on Dec 23, 2024
122 views 53 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wageni wengi wametembelea eneo la Mnara wa Saa ” *Clock Tower* ”  kwa ajili ya kujionea taswira mbalimbali za wanyamapori pamoja na kupata elimu kuhusu umuhimu wa kijiografia wa eneo hilo. Uwepo wa Taswira za Wanyamapori ambazo zimewekwa na *TAWA* katika eneo hilo limenogesha zaidi kwa kuwavutia wageni wengi wazawa na […]