Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 42)
FEATURE
on Dec 14, 2024
179 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wasanii wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupima afya zao wakati wa kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya moyo itakayofanyika hivi karibuni katika Kliniki ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Kawe. Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter […]

FEATURE
on Dec 14, 2024
147 views 37 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo Tar.13 Desemba 2024, imefanya mafunzo kwa Wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) jijini Dar es Salaam, huku msisitizo ukiwa kwenye uvunaji wa maji ya mvua katika kukabiliana na upungufu wa huduma za maji katika maeneo […]

FEATURE
on Dec 13, 2024
137 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Dec 13, 2024
171 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema Manabii na Viongozi wengine wa Dini wana nafasi kubwa katika Jamii. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Disemba 12 amehudhuria mkutano wa kila mwaka wa Kitaifa wa viongozi wa kiroho ( The Annual National Leaders Prophetic Meeting) uliofanyika katika ukumbi wa The Supper Dom Masaki […]

FEATURE
on Dec 13, 2024
121 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ahadi ya Rais yatekelezwa Kukamilika kwa ujenzi wa kivuko cha mto Trippi kilichopo Kijiji cha Trippi Kata ya Gehandu Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu umeweza kupunguza utoro kwa asilimia 98 na kuongeza ufaulu wa mtihani wa darasa la saba kwa asilimia 91 kwa wanafunzi wanaosoma Shule ya Msingi Trippi. Hayo yameelezwa […]

FEATURE
on Dec 13, 2024
128 views 53 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt.Mataragio aongoza majadiliano na kampuni ya Pertaminaย  Indonesia* Wajadili uwekezaji katika Nishati Mbadala, Mkondo wa Juu wa Petroli, Uzalishaji mbolea* Timu ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi wa Kuchakata na Kusindika gesi asilia (LNG) imeendelea na ziara yake nchini Indonesia ya kujifunza na kubadilishana uzoefu kuhusu utakelezaji wa miradi ya LNG. […]

FEATURE
on Dec 13, 2024
162 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mapato na Idadi ya watalii vyaongezeka Tabora. Zaidi ya TZS Millioni 220 zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Kwa ajili ya maboresho ya miundombinu ya utalii ndani ya […]

FEATURE
on Dec 13, 2024
132 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Inalenga kubadilishana uzoefu na ujuzi juu ya usindikaji wa gesi Indonesia. Timu ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (Government Negotiation Team โ€“ GNT-LNG) ipo katika ziara nchini Indonesia. Ziara hiyo inalenga kubadilisha uzoefu na ujuzi katika kuendeleza sekta ya ndogo ya mafuta na gesi asilia […]

FEATURE
on Dec 12, 2024
156 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amevunja ukimya kuhusu hatima ya kungโ€™atua kwake ndani ya chama hicho huku akiweka wazi kwamba bado yupo sana na hatastaafu siasa kwa sasa. Kutokana na hali hiyo amesema kuwa amefanyakazi ya kuimarisha upinzani nchini kwa zaidi ya miaka […]