Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 47)
FEATURE
on Dec 2, 2024
135 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo kupitia kwa Naibu  Katibu Vijana Taifa, Ruqayya Nassir leo tarehe 2 December 2024, Jijini Dar es Salaam ametoa rai kwa vijana nchini kupinga dhulma zote zinazolenga kuizika Demokrasia na kuzika matumaini ya kurejeshwa demokrasia ya kisiasa nchini. Ruqayya amesema kwenye masuala haya ya kutekwa na […]

FEATURE
on Dec 2, 2024
109 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Azindua Kongamano la 9 Sayansi, Teknolojiana Ubunifu Asema Watafiti waendelezwe, wasivunjwe moyo Azindua Mfuko wa mikopo nafuu “SAMIA FUND” Norway Yaahidi kuendelea kufadhili utafiti wenye tija  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema umefika wakati kwa Serikali na taasisi na Mashirika kutambua, kuthamini na kutumia tafiti […]

FEATURE
on Dec 2, 2024
257 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA Mhandisi Victor Seff amewataka Mameneja wa TARURA wa Mikoa na Wilaya zote nchini kufanya ukaguzi na matengenezo  ya Miundombinu ya barabara zinazosimamiwa na TARURA mara kwa mara ili kubaini kasoro na kuchukua hatua za haraka kuondoa kasoro […]

FEATURE
on Dec 2, 2024
188 views 32 secs

Na Madina Mohammed ARUSHA Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DKT Samia Suluhu Hassan Ameunda tume mbili Ambapo Moja atachunguza na kutoa mapendekezo Kuhusu maswala ya ardhi wanayolalamikiwa na wakazi wa ngorongoro.Tume nyengine itaangalia utekelezaji wa zoezi zima la uhamiaji wa hiari kutoka eneo la ngorongoro. Dkt Samia ameyasema Leo ikulu ndogo ya Arusha […]

FEATURE
on Dec 1, 2024
332 views 4 mins

Leo, tarehe 1 Desemba 2024, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani. Maadhimisho haya yanayoratibiwa kitaifa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), mwaka huu yanafanyika mkoani Ruvuma yakibeba kauli mbiu yenye nguvu na matumaini: *“Chagua Njia, Tokomeza UKIMWI.”* Kauli mbiu hii haizungumzii tu mbinu za […]

FEATURE
on Nov 30, 2024
151 views 2 mins

Na Madina Mohammed WAMACHINGA Tume ya Ushindani (FCC) imedhamiria kutoa elimu kwa Watanzania juu ya namna nzuri ya kufanya biashara bila kudidimiza sera na taratibu za ushindani za ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Akizungumza leo Jijini Dar es salaam Novemba 29, 2024 Mkurugenzi Mkuu wa FCC William Erio na waandishi wa habari katika […]

FEATURE
on Nov 30, 2024
128 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Harambe StarsTimu ya taifa ya Kenya ya mpira wa miguu Harambee Stars imeshuka kwa nafasi mbili katika viwango vya hivi punde vya Fifa vilivyotolewa Alhamisi na shirikisho hilo la soka duniani. Timu ya taifa ya kandanda sasa iko katika nafasi ya 108, chini kutoka nafasi ya 106 iliyokuwa nayo Oktoba. Kushuka […]

FEATURE
on Nov 30, 2024
158 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko amwakilisha Dkt. Mpango Tuzo za Mwajiri Bora mwaka 2024* TBL, BARIC GOLD, TPA Zang’ara Ushindi wa jumla Mwajiri Bora 2024* ILO yashauri Utambuzi wa Sekta isiyo rasmi*  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza waajiri nchini kuongeza umakini na kuzingatia misingi ya utu mahali […]

FEATURE
on Nov 29, 2024
106 views 46 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kapinga asema lengo ni kuchochea kasi ya ukuaji wa Elimu* Aweka Jiwe la Msingi ujenzi wa nyumba ya Mwalimu  Shule ya Mbungani* Asema miradi ya maendeleo itawafikia wananchi wote bila kuangalia umbali* Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe.Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta […]

FEATURE
on Nov 29, 2024
135 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Viongozi wa Serikali na Chama tawala kutoa ushirikiano kwa viongozi wa vyama pinzani walioshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kwani nao wameaminiwa na wananchi. Akizungumza jijini Dar es salaam Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, CPA. Amos Makalla amesema uchaguzi umeisha chama […]