Na mwandishi wetu โฆ RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Sh Milioni 700 kwa timu ya Taifa (Taifa Stars), kufuatia ushindi wao wa bao 1-0 dhidi ya wageni wao Guinea, katika mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu fainali za AFCON mwaka 2025,Katika mchezo huo uliochezwa katika Uwanja […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa_ย Katibu Mkuu Balozi Nchimbi kuongoza kampeni za uchaguzi Serikali za Mitaa leo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, anatarajiwa kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM Mkoa wa Mwanza tarehe 20 Novemba […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kila wilaya kusambaziwa mitungi ya gesi 3,255 Elimu ya nishati safi kuendelea kutolewa ๐Njombe Mkoa wa Njombe umeahidi kushirikiana na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia13,020 ili wananchi watumie nishati safi na salama. Hayo yamezungumzwa leo Novemba 19, 2024 na Kaimu Katibu Tawala, Mha. Joseph […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA REA yahamasisha ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameunga mkono juhudi za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) za kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia ipatayo 9,800 mkoani humo itakayoendelea kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia. Mhe. Serukamba […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikaliย itaendelea kuiunga mkono sekta ya madini lengo likiwa ni kuona sekta hiyo inakuwa kwa kasi na tija kwa uchumi wa nchi. Majaliwa ameyasema hayo leoย jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassanย kwenye Mkutano wa sita wa Kimataifa wa Madini ulioanza leo […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro Mkoani Arusha wameonyesha kuwa na matumaini na Serikali kufuatia urejeshwaji wa huduma za kijamii ambazo zilikosekana kwa mda mrefu. Hayo yamebainishwa leo Nov 18, 2024 na Mratibu wa mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) wakili Onesmo Olengurumwa ambapo amesema kwasasa Wananchi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Jumla ya watu 84 wameokolewa na kufikishwa hospital Kwa ajili ya kupatiwa matibabu na kati ya hao majeruhi 26 bado wanaendelea na matibabu naย watu 13 wamepoteza maisha Katika tukio hilo. Amesema serikali itabeba Gharama za matibabu Kwa wote waliojeruhiwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Apongeza wananchi wa kawaida kwa kujitokeza haraka kuokoa watu_ _Serikali, vyombo vyake na taasisi binafsi zapewa heko kwa mwitikio wa mfano_ KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amepongeza utayari na mshikamano ulioonyeshwa na Watanzania mara baada ya tukio la kuanguka kwa jengo Kariakoo, akisema kuwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Kaskazini Bw. Godbless Lema anatuhumiwa na baadhi ya wanachama wa Chama hicho Mkoani Arusha kwa kuongoza kwa Ubabe na kupandikiza watu anaowataka yeye kwenye Nafasi mbalimbali zinazowaniwa kwenye Uchaguzi wa kuchagua Viongozi mbalimbali wa Chama hicho Kanda ya Kaskazini. Lema inadaiwa […]