Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini nchini Tanzania unatarajiwa kuwa jukwaa muhimu la kukuza uwekezaji, kubadilishana maarifa, na kuimarisha ushirikiano katika sekta ya madini. Mkutano huo ni wasita (6), utakaofanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba 2024 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC),ambapo Utafunguliwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM RAIS Samia Suluhu Hassan amealikwa kushiriki mkutano wa viongozi wa G20 utakaofanyika Rio de Janeiro nchini Brazil kuanzia Novemba 18 hadi 19, 2024 ukiwa na kauli mbiu inayosema ‘Kujenga ulimwengu wa haki na sayari endelevu’. Mwaliko huo umetolewa na Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil ambapo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wanasayansi kuunganisha afya ya Binadamu, Wanyama na Mazingira kwa Matokeo Bora ya Afya -MWANZA NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwaka 2015, Tanzania iliunga mkono ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya na kuharakisha utekelezaji wa Sheria za Afya za Kimataifa ili kuzuia […]
WAHANDISI TOENI USHAURI WA KITAALAMU KWA WANANCHI WANAPOFUNGUA BARABARA KWA NGUVU ZAO- MHANDISI SEFF
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mtwara Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seffย amewataka Wahandisi wa TARURA nchiniย kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wananchi na wadau wa maendeleoย pindi wanapofungua au kutengeneza barabara kwa nguvu zao kwa barabara ambazo hazipo kwenye mtandao unaosimamiwa na TARURA. Mhandisi Seff ameyasema hayo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KWA mujibu wa ripoti ya uchumi ya mwaka 2023 inabainisha kuwa Asilimia 14 ya watanzania ndio wanaotumia huduma ya malipo ya lipa namba na QR code namba hiyo ikitajwa kuwa chini kutokana na makato ya miamala Ili kurahisha shughuli za biashara kufanyika kwa urahisi benki ya TCB imetambulisha mfumo wa malipo […]
Na Asha Bani WAMACHINGA -DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa amezungumza na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kulazimika kuiomba Serikali kuyapuuza makosa madogomadogo kwenye fomu za wagombea na ikiwezekana waterline na Kamati za Rufaa za Wilaya. Kauli hiyo aliitoa jana Jijini Dar […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewaomba wanachama katika maeneo ambayo wagombea wa CCM wamewekewa mapingamizi, kuwa watulivu kwani Chama kinaamini haki itatendeka kwa vyama vyote. CPA Makalla aliyasema hayo leo wakati akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM Wilaya ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imepokea taarifa ya matokeo ya awali ya utafiti kuhusu matumizi ya makaa ya mawe na gesi asilia katika uzalishaji wa mbolea hususan zenye kirutubisho cha naitrojeni kutoka Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo ya Mbolea (IFDC) chenye makao makuu yake nchini Marekani.ย Akizungumza mara baada […]