Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 55)
FEATURE
on Nov 13, 2024
136 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imepokea taarifa ya matokeo ya awali ya utafiti kuhusu matumizi ya makaa ya mawe na gesi asilia katika uzalishaji wa mbolea hususan zenye kirutubisho cha naitrojeni kutoka Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo ya Mbolea (IFDC) chenye makao makuu yake nchini Marekani.  Akizungumza mara baada […]

FEATURE
on Nov 12, 2024
224 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM KUFUATIA uchunguzi uliofanywa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA) imebaini baadhi ya wafanyabiashara wa shisha wanachanganya bidhaa hiyo na dawa mbalimbali za kulevya ikiwemo heroin ili kuiongezea radha na kupelekea madhara makubwa kwa watumiaji. Akizungumza na waandishi wa habari leo,Novemba 12,2024  wakati akitoa taarifa ya […]

FEATURE
on Nov 12, 2024
124 views 18 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Novemba 12, 2024 amefanya ziara ya kushitukiza kiwanda cha nguo na mavazi cha Namela Textile Limited kilichopo Gongolamboto Jijini Dar es Salaam. RC Chalamila amefanya ziara hiyo kwa lengo la kujionea kiwango cha uzalishaji, Ubora wa bidhaa pamoja na malalamiko […]

FEATURE
on Nov 12, 2024
129 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Nov 11, 2024
206 views 5 mins

Na Madina Mohammed Mhe Rais Hakainde Hichilema wa Zambia alizindua kiwanda cha kisasa cha PDV Metals Steel Plant,ambacho walichoingia ubia kati ya PDV Group kutoka China na Nicho Group ya Zambia. Mradi huo ukiwa katika Ukanda wa Kiuchumi wa Lusaka Kusini, wenye thamani ya dola milioni 230 unasimama kama kituo kikubwa zaidi cha uzalishaji wa […]

FEATURE
on Nov 11, 2024
108 views 9 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ujenzi Uwanja wa Ndege Msalato Wafikia 75%, Kukamika kwake Kutachochea Maendeleo Ampongeza Mhe. Mavunde Kwa Utekelezaji Mzuri wa Ilani ya CCM Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura ikiwa ni […]

FEATURE
on Nov 11, 2024
200 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Mapato Zanzibar (ZRA), imewashauri Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini kuwajengea waandishi wao uweledi wa kuchagua tahsusi maalum ili  kuripoti kitaalamu hususan katika masuala ya mapato. Ushauri huo umetolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Uhusiano na Huduma kwa Walipakodi kutoka ZRA, Makame […]

FEATURE
on Nov 11, 2024
123 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM UTANGAZAJI Tanzania umeendelea kuimarika na mawimbi ya televisheni kijitali kwa mfumo wa ardhini (DTT) sasa yanafikia asilimia 58 ya watu, taarifa ya hali ya mawasiliano nchini inaonesha. Taarifa ya robo mwaka ya Julai hadi Septemba iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inasema mawimbi ya yanafika asilimia 33 […]

FEATURE
on Nov 11, 2024
167 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Nov 10, 2024
168 views 2 mins

Na Happiness Shayo-Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Watanzania kuwaenzi mashujaa kwa  kuendeleza utu, amani na ubinadamu walioupigania ili kuifanya dunia kuwa mahali salama pa kuishi. Ametoa kauli hiyo leo alipokuwa mgeni rasmi katika Siku ya Kumbukumbu ya  Mashujaa waliopigania Vita ya Kwanza ya Dunia iliyofanyika […]