Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI Ni Eyasi-Wembere, Songo songo Magharibi na Mnazi Bay* Jotoardhi nayo yatajwa Kongamano la Mafuta Afrika* Kamishna Shirima atoa uhakika wa miundombinu ya gesi asilia Tanzania* Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Dkt. James Mataragio amewakaribisha wawekezaji kuingia ubia na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ajili ya utafutaji […]
Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI Nia ni watanzania wengi zaidi watumie nishati safi ya kupikia* Asema UWT itaendelea kuishauri Serikali uwepo ya mitungi ya gesi ya gharama nafuu zaidi* Wanawake na watoto watajwa kuwa waathirika wakubwa matumizi ya nishati isiyo safi* Mwenyekitiwa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UWT), Mary Chatanda amesemaJumuiya hiyo itaendelea […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR/MIKOANI WAKATI zoezi la uandikishaji wapiga kura likianza kwa siku ya jana nchini hali ya mwitiko wa wananchi imekuwa nzuri huku katika baadhi ya maeneo machache wananchi wajitokeza kwa suasua. Hatua hiyo ni sehemu ya maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji unaoatarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka viongozi wa CCM kutenda haki kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba mwaka huu. Akizungumza na viongozi na wanachama mbalimbali wa CCM Wilaya ya Kahama leo, tarehe 10 Oktoba 2024, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kikazi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni kupitia Mkutano wa Wiki ya Mafuta Afrika* Aeleza jinsi Sheria za Tanzania zinavyowiana na mazingira ya uwekezaji* Asema Tanzania ina miundombinu wezeshi ya usafirishaji bidhaa za mafuta na Gesi Asilia* Aeleza miradi inayotoa hakikisho la uwepo wa umeme wa kutosha* Asisitiza Nishati Safi ya Kupikia ni ajenda ya nchi* Naibu […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA REA yapongezwa kwa elimu ya nishati safi ya kupikia Yaendelea kugawa majiko banifu na mitungi ya gesi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ruzuku ya asilimia 50 ya bei kwa mitungi ya gesi inayosambazwa nchini na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Hayo yamebainishwa leo […]
Na Mwandishi Wetu Wanaoishi na VVU wajiunga Bima ya Afya (NHIF) kupitia miradi ya TARURA Ludewa,Njombe Vikundi vya Kijamii vinavyofanya kazi za ujenzi na matengenezo madogo madogo ya miundombinu ya barabara wilayani Ludewa wameishukuru Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kuwapatia kazi ambazo zimeweza kuwainua kiuchumi. Wakiongea wakati wa ziara ya Ujumbe […]