Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio leo tarehe 06 Oktoba, 2024 ameongoza kikao cha maandalizi cha Wataalam kutoka Tanzania watakaoshiriki Kongamano la Wiki ya Mafuta Afrika (Afrika Oil Week). Kikao kimefanyika Jijini Cape Town nchini Afrika Kusini. Kongamano hilo litafanyika kuanzia tarehe 07 hadi 10, Oktoba, 2024 […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema hadi sasa hakuna chama kingine cha siasa, tofauti na CCM, kinaweza kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM katika kuongoza nchi. Hivyo amewasisitiza Watanzania kuendelea kushirikiana na CCM kwani ndiyo chama chenye uwezo na dhamira ya kuongoza nchi kwa maslahi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Lamadi, Wilaya ya Busega, Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 6 Oktoba 2024, ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu mkoani humo. Balozi Nchimbi ambaye ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewahimiza Watanzania kuendelea kushirikiana na CCM, akisisitiza kuwa chama hicho kimeonyesha kwa vitendo uwezo wa kuongoza nchi na dhamira ya kuwahudumia wananchi wanyonge. Dkt. Nchimbi alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Lamadi, Wilaya ya Busega […]
Na Beatus Maganja Mradi wa maji safi wenye thamani ya zaidi ya shilingi millioni 50 uliofadhiliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA Katika Kijiji cha Nkonko kilichopo Kata ya Nkonko wilayani Manyoni mkoa wa Singida unatajwa kuondoa adha ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa Kijiji hicho […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, ameingi kati suala la kero ya maji katika Mkoa wa Dar es Salaa huku akiweka wazi dhamira Rais Samia kuhusu mkakati wa kukabiliana na keroย ya maji na kutaka huduma hiyo inarejea katika hali ya kawaida kwa haraka. Kutokana na hali hiyo alisema kuwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -ARUSHA RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongeza kitendo cha walimu 5000 Jijini Arusha wa Shule za Msingi na Sekondari Jijini Arusha kupatiwa mitungi ya gesi ya Oryx na majiko yake kwa lengo la kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia . Akizungumza kwa njia […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Nishati Safi ya Kupikia inastawisha familia kijamii na kiuchumi* Aeleza athari za ukatajiย miti na uchomaji mkaa* Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amesema juhudi za Serikali kupitia Wizara ya Nishati kufikisha umeme hadi maeneo ya Vijijini zinapelekea wananchi kupika kwa kutumia nishati iliyo safi kupitia majiko yanayotumia umeme kidogo. […]
Kijiji cha Kahunda charindima Kwa nderemo na vifijo* Na. Beatus Maganja Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA kwa kushirikiana na wananchi wa Kijiji cha Kahunda kilichopo Kata ya Katwe Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema na mkoa wa Mwanza wamefanikiwa kumdhibiti mamba aliyezua taharuki takribani wiki nzima Kijijini humo kabla ya kuleta […]