Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RAIS Samia Suluhu Hassan amevunja ukimya na kutoa pongezi ya dhati kwa Sekta isiyo rasmi katika kuonesha jitihada kuchingia ukuaji wa uchumi kwa haraka kupitia shughuli mbalimbali za kujiajiri wenyewe.Takwimu zinaonesha kundi hilo lisilo rasmi linachangia asilimia 60 ya mapato yanayochangia kasi ya ukuaji wa uchumi nchini. Kauli hiyo aliitoa jana […]
Na Veronica Simba WMA PWANI Akabidhi magari kuboresha utendaji kazi Azindua Jarida maalum kupanua wigo uhabarishaji umma Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah ameitaka Menejimenti ya Wakala wa Vipimo (WMA) kutekeleza maono ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuzingatia utendaji kazi wenye weledi, ubora na viwango ili kupata matokeo chanya katika […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Tume ya Taifa ya sayansi na teknolojia (COSTECH)Leo imezindua miongozo minne itakayowawezesha uratibu katika masuala ya sayansi na teknolojia na ubunifu. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa miongozo hiyo iliyofanyika leo Oktoba 4,2024 jijini Dar es salaam katibu mkuu wa wizara ya elimu,sayansi na teknolojia Bi Carolyne Nombo amesema […]
Na Mwandishi Wetu If you missed #SerengetiOktobaFest 2023, we have just one word for you FOMO! Last year, we brought the house down with the perfect fusion of culture, community, and of course, the ultimate beer (Serengeti lager) that brought us all together. And letโs just say, the vibes were nothing short of legendary! From […]
Na Mwandishi Wetu Tanzania may not have an extensive list of beers, but the ones it offers are truly exceptional. Hereโs a rundown of the top beers you absolutely must try when visiting Tanzania: Serengeti Premium Lager: A true Tanzanian classic, Serengeti Premium Lager has been a source of national pride since its inception in […]
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezitaka Serikali za Vijiji kuweka ajenda ya uhifadhi wa mazingira na kudhibiti moto iwe za kudumu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadae. Ameyasema hayo leo Oktoba 2, 2024 alipokuwa akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika Kijiji cha […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwandishi wa habari wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amewata wananchi Mkoani Singida kuendelea kumuunga mkono Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibu ambaye ni Waziri wa Fedha Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba kutokana na kazi nzuri anayoendelea kuifanya katika Taifa la Tanzania. Amewataka wananchi kumuombea, kumtia moyo na kumpa ushirikiano ili […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mnamo Septemba 28, 2024, Terrace Lounge iliyoko Slipway ilibadilika na kuwa paradiso ya mwanamitindo, yote hayo yakifanywa na Tamasha mahiri la Mitindo la Tanzania lililodhaminiwa na Smirnoff. Jua lilipozama chini ya upeo wa macho, likitoa mwangaza wa joto kwenye ukumbi huo, wageni walianza kumiminika, wakipiga kelele kwa furaha […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Ikiwa ulifikiri kuwa karamu ni jambo la usiku tu, fikiria tena! Sherehe ya Hello Jua sunrise huko Wavuvi Kempu ilichukua dhana ya “maisha ya usiku” kwa kiwango kipya kabisa, na bado tunapiga kelele kutokana na matumizi ya umeme. Tukio hili lililofadhiliwa na Johnnie Walker Gold mmoja pekee, liligeuza […]