Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 80)
FEATURE
on Sep 17, 2024
404 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Astaajabishwa na wingi wa vivutio na kuahidi kuwahamasisha wageni mbalimbali kutembelea eneo hilo* Mkurugenzi wa Kampuni mashuhuri  ya utalii inayofahamika kama Green Hippo Travels, Astrid Kleinveld akiwa ameambatana na rafiki yake  Naomi Rugenbrink ambao wote ni raia wa Uholanzi,   tarehe 15 septemba 2024, walitembelea eneo la Makuyuni Wildlife Park liliopo wilayani […]

FEATURE
on Sep 16, 2024
200 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi zahanati ya Ivilikinge iliyopo Wilayani Makete Mkoani Njombe sambamba na kukabidhi vifaa mbalimbali vya hospitali vilivyotolewa na Benki ya NMB. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, leo Septemba 16,2024, Mhe. Chana […]

FEATURE
on Sep 16, 2024
234 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema lengo ni kuepusha uovu na kuchochea maendeleo_* WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla wahakikishe wanasimamia na kuimarisha maadili mema kwa jamii ili kuepuka maovu na kuleta maendeleo endelevu kwa Watanzania. “Nitumie fursa hii kuendelea kutoa rai kwa wananchi, wazazi na viongozi wa […]

FEATURE
on Sep 13, 2024
412 views 10 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mitungi ya Gesi 400,000  yapewa Ruzuku* Dkt. Biteko Asisitiza Nishati Safi ya Kupikia kwa Wote* Aagiza Majengo ya Wizara ya Nishati/Taasisi kufunga mifumo ya Umeme Jua* Azindua  Jengo la REA; Aipongeza kwa usimamizi wa miradi, asisitiza huduma bora* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko amesema Serikali inafanya […]

FEATURE
on Sep 13, 2024
372 views 0 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya utalii Tanzania (TTB) inatarajia kuazimisha onesho la nane la SWAHILI INTERNATIONA TOURISM EXPO (S!TE) ambapo onesho hilo litafanyika kuanzia 11 mpaka 13 Oktoba mwaka huu. Akizungumza na waandishibwa habari mapema hii leo septemba 12,2024 Mkurugenzi mkuu wa Bodi ya utalii nchini […]

FEATURE
on Sep 12, 2024
259 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WMA MWANZA Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amehimiza wananchi jijini Mwanza kuzingatia matumizi sahihi ya vipimo kila mara wanapofanya manunuzi na kuuza bidhaa mbalimbali. Aliyasema hayo Septemba 11, 2024 wakati akifungua rasmi Maonesho ya 19 ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayofanyika katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. “Wizi wa […]

FEATURE
on Sep 11, 2024
259 views 32 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Million 30 ajili ya timu taifa ya wasichana ‘Serengeti Girls’, ubingwa wa UNAF U-17 zilizofanyika Tunisia 2024. Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt.Damas Ndumbaro akiwakabidhi fedha hizo wachezaji hao kwenye makao makuu ya Shirikisho la mpira […]

FEATURE
on Sep 11, 2024
368 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dodoma, Tanzania — Septemba 11, 2024 Katika juhudi za kuboresha uhifadhi wa mazingira nchini, Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imefanya mkutano na Kamisheni ya Tabianchi ya Bonde la Congo (CBCC) pamoja na Mfuko wa Bluu wa Bonde la Congo (CBFF) jijini Dodoma. Mkutano […]

FEATURE
on Sep 11, 2024
293 views 52 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Taasisi isiyo ya kiserikali ya Rihab Health imeandaa Kongamano la pili la Utengamao wa akili (Rehabilitation  summit) linalokusudia kuendeleza ajenda ya utengamao wa Afya ya akili nchini lenye kauli mbiu ya “kuendeleza ajenda ya utengamao,kuimarisha mifumo ya Afya nchini. Mkurugenzi mtendaji wa shirika hilo Remla Shirima amezungumza na […]

FEATURE
on Sep 11, 2024
238 views 4 mins

ZIARA ya kikazi imefanywa kukagua miradi ya kimaendeleo katika kata ya Pembamnazi iliyopo wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es salaam ikuhusisha maeneo muhimu katika jamii ikiwemo Elimu, Afya na miundombinuhuku ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM )kata Ndg.Muharami Rajabu na Diwani wake Lyona Ramadhani Ziara hiyo imefanyika Septemba 10.2024 na akiongea wakati anakagua […]