Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 84)
FEATURE
on Sep 2, 2024
409 views 2 mins

Na.Joyce Ndunguru, Morogoro. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anaeshughulikia Maliasili, Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba asisitiza matumizi ya sheria na kanuni katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za uhifadhi. Kamishna Wakulyamba ameyasema hayoleo Septemba 1, 2024 wakati wa ziara ya kikazi aliyoifanya katika ofisi za Makao Makuu ya TAWA yaliyopo Mkoani Morogoro kwa […]

FEATURE
on Sep 2, 2024
463 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Serikali Kupitia wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA imefanikiwa kuongeza mtandao wa Barabara za Wilaya kutoka kilomita 108,946,19 Hadi kilomita 144,429,77 Mtendaji mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff Ameyasema hayo Leo September 2,2024 jijini Dar es salaam Katika kikao kazi Cha wahariri na waandishi wa habari […]

FEATURE
on Sep 2, 2024
253 views 17 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Marekani (USG) yatoa huduma za VVU na chanjo kwa takribani vijana 10,000 wenye umri wa miaka 15-24 kupitia mpango wa Ndondo Cupย  Dar es Salaam. Ndondo Cup ya mwaka huu imekuwa zaidi ya mashindano ya soka ya kienyeji; imegeuka kuwa mpango muhimu wa uhamasishaji wa afya ya umma, ikitoa […]

FEATURE
on Sep 2, 2024
248 views 21 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amesema kuanzia sasa hataki kusikia changamoto zinazohusiana na Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi zikiwemo changamoto za abiria kukaa muda mrefu katika vituo wakisubiri usafiri ambapo amemuagiza mtendaji mkuu wa DART kushirikiana na UDART kuhakikisha mabasi mapya ya mwendo kasi yanafika […]

FEATURE
on Sep 1, 2024
485 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Mikumi imeleta mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini yakichangiwa na jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hayo yamesemwaย  leo Agosti 31,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) […]

FEATURE
on Sep 1, 2024
257 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Waziri wa Viwanda na Biashara pia ni Mbunge wa Jimbo la kisarawe mkoani pwani Mh.Suleiman Jafo, amewataka  Wananchi wa Jimbo la kisarawe na watanzania kwa ujumla kujitokeza katika kujiandikisha kwenye Daftari la wapiga kura Ili kumchagua kiongozi imara atakaewaletea maendeleo Katika majimboni kwao Ameyasema hayo Tarehe 31 Agosti 2024 […]

FEATURE
on Aug 31, 2024
393 views 42 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Huduma za kijamii zaendelea kuboreshwa Songosongo* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema wananchi wanaoishi katika maeneo ambayo yana miradi mikubwa ya nishati watanufaika na miradi hiyo kupitia upatikanaji wa huduma mbalimbali. Mhe. Kapinga amesema hayoย  Agosti 30, 2024 bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mhe. Ally Kasinge Mbunge […]

FEATURE
on Aug 30, 2024
338 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za afya wa nchi wanachama wa kanda ya Afrika Mashariki kuondoa vikwazo vinavyozuia wagonjwa wanaotafuta matibabu ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki. “Hatua hii ni kwa manufaa ya wananchi wetu na kwa uchumi wa kikanda na ukuaji wa utalii tiba.” Ametoa wito […]

FEATURE
on Aug 30, 2024
222 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku katika kila uniti* Aelezea ruzuku inayotolewa na Serikali kufikisha umeme visiwani* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki. Hii ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku kwenye gharama ya mwananchi kununua […]

FEATURE
on Aug 30, 2024
280 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wageni zaidi ya 800 kutoka Chama cha oWafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) wamefanya ziara ya kihistoria katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro jana tarehe 29 agosti, 2024. Ziara hiyo ambayo imefanyika baada ya wajumbe wa TUGHE kumaliza semina iliyofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 26/08/2024ย  ina lengo la kuwaleta pamoja waajiri […]