1. Kupitia nyakati ngumu yaweza kuwa sehemu ya kawaida ya maisha yetu ya kila siku 2. Nyakati ngumu zinaweza kuwa ngumu zaidi kiasi kwamba zikakufanya kulemewa 3. Kulemewa na jambo ni kuwa katika mazingira ambayo mambo yamekuwa magumu, yamefika shingoni, mwanga ulotazamia uone basi ni mwanga hafifu kiasi cha kupoteza nuru 4. Nyakati za kulemewa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Watoto wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu ambao wanaolelewa katika Kituo cha Nazzar Foundation kilichopo Madale jijini Dar es Salaam wamepatiwa misaada mbalimbali kuwezesha Misaada hiyo ambayo iajumuisha pampasi, sabuni, vyombo vya kufulia nguo na vifaa vya usafi umetolewa na Kampuni ya Nywele ya Prima Afro. Akikabidhi msaada huo Aprili […]
BAADA ya wakulima wa zao la parachichi kuanza kutumia mbolea katika kilimo hicho, uzalishaji umeongezeka. Matumizi ya mbolea katika zao la parachichi yameongezeka kutoka wastani wa kilo 100 kwa hekta mwaka 2019/20 hadi kilo 150 kwa hekta mwaka 2023/24. Ongezeko hilo la matumizi ya mbolea limechangia kuongezeka kwa uzalishaji wa parachichi inayouzwa nje kutoka tani […]
_Rasmi mashine zote 9 za kuzalisha umeme Megawatts 2,115 zimekamilika, ndoto ya miaka 50 Rais Samia ameitimiza kwa miaka 4 tu kutoka kuukuta mradi ukiwa chini ya 33% hadi kuumaliza 100%._ Na Bwanku M Bwanku. Moja ya mradi mkubwa wa kimkakati uliokua ukitekelezwa kwenye nchi yetu ni mradi wa kufua umeme kwa kutumia njia ya […]
_Kuanza kupokea Wanafunzi 160 wa kidato cha 5 Julai, ina madarasa 12 ya kisasa, mabweni mawili, nyumba ya Walimu 2 in 1 n.k._ Kata ya Kaitoro kwenye Tarafa ya Katerero ilikua na Sekondari moja lakini kutokana na uwingi mkubwa wa wanafunzi, mwaka juzi 2023 Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ikaamua kujenga shule nyingine hii […]
ย ๐Asema ni ndoto ya watanzania,awataka wategemee umeme wa uhakikaย ๐Asisitiza kazi iliyobaki ni kuimarisha miundombinu ya kuwafikishia wananchi umemeย ๐Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Misri kuuzindua rasmiย Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kutegemea kupata umeme wa uhakika baada ya Mradi wa kufua umeme kutoka Bwawa la Julius […]
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameahidi kuwa Serikali ya mkoa wa Dodoma itaendelea kushirikiana na Makao makuu ya Mahakama ya Tanzania yaliyopo Dodoma katika kuhakikisha kuwa dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan inatimia katika kuhakikisha wananchi wa Tanzania wanapata haki zao. Mhe. Senyamule amebainisha hayo leo Aprili 05, 2025 wakati Rais Samia […]
Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi
Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waraka mzito wa ushauri umetolewa na wagombea wa ubunge wa mwaka 2020 na watia nia wa mwaka 2025, wakimlenga moja kwa moja Katibu Mkuu wa CHADEMA huku wakionyesha tofauti kubwa ya kifikra na kimkakati na […]
Na Madina Mohammed WAMACHINGA Ni muendelezo wa utoaji elimu kwa waingizaji na wasambazaji wa dawa , vifaa tiba na vitenganishi kutoka Wilaya ya Ilemela na Nyamagana Mkoani Mwanza ,Elimu hii inatolewa na mamlaka ya dawa na vifaa tiba TMDA Kanda ya Ziwa Mashariki. Mamlaka ya dawa na vifaa Tiba TMDA Kanda ya ziwa mashariki imewatahadharisha […]
Na Mwandishi wetu, Morogoro. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima amewakaribisha maafisa Habari,Uhusiano na Mawasiliano wa serikali wanaotarajia kukutana kwenye mkutano waoย wa mwaka utakofanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 8-12 Aprili, 2025. Mhe. Malima ameyasema hao leo tarehe 3 Aprili, 2025 wakati wa kikao cha pamoja na baadhi ya viongozi wa Chama cha […]