Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mwenyekiti wa Wasanii na Muigizaji Steve Nyerere Wamemuomba Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kuwa kipaumbele Chao Cha kwanza ni Elimu Kwa wasanii Amesema kuwa Kuna watu wanaitajika kupewa elimu ni Director,Camera Man, Producer na Editor Hayo Ameyasema Leo 11,Julai 2024 Mwenyekiti wa Wasanii na Muigizaji Steve Nyerere wakati wakitoa […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuepuka kutoa kauli au kufanya vitendo vyenye taswira inayoweza kutafsiriwa kuwa baadhi yao wanashabikia ukandamizaji wa haki za wananchi. Katibu Mkuu Balozi Dkt. Nchimbi amesisitiza kuwa maneno na vitendo vya […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Alhamis, 11 Julai 2024, amefungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Watendaji na Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), wilaya zote na mikoa yote, nchi nzima, yanayofanyika katika Chuo cha UVCCM Ihemi, mkoani Iringa. Baada ya kuwasili chuoni […]
KLABU ya JKT Tanzania imetangaza kumsajili mkongwe John Bocco kwa ajili ya msimu wa 2024/25 kwa mkataba wa mwaka mmoja. Simba ilimkabidhi majukumu Bocco kuwa kocha mkuu wa kikosi cha Vijana wenye umri chini ya miaka 17 msimu wa 2023/24 ukielekea ukingoni. โHakuna muda wa kupoteza ๐ช โTOP SCORER OF ALL TIMEโ ameshaanza mazoezi,โimesema taarifa […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo amesema uzalishaji wa sukari kwa Tanzania Bara umeongezeka kwa kiasi kikubwa zaidi ya miaka iliyopita na ili kukidhi mahitaji yaliyopo kupitia kampuni za sukari inatarajiwa kuzalishwa tani 706,000 ifikapo Mwaka 2025/26 Akizungumza jana Julai 10, 2024 kwenye Mkutano wa wazalishaji wa sukari wa […]
Na JESHI LA POLISI DAR ES SALAAM Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama barabarani Tanzania DCP. Ramadhani Ng’anzi amesema tatizo la ajali za barabarani bado ni kubwa hivyo Jeshi la Polisi Kikosi cha usalama barabarani linafanya kila jitihada ili kuhakisha ajali zinatomezwa ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua madereva wasio tii sheria. Kamanda Ng’anzi ameyasema […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Injinia Felchesmi Mramba amepongeza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Akiwa kwenye banda EWURA ndani ya Maonyesho ya 48 Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) leo tarehe 9Julai 2024 Mramba amesema bei ya huduma […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme EDTCO imejipanga kuhakikisha inakamilisha miradi mbalimbali ya Usambazaji Umeme Nchini inakamilika katika kipindi Cha mwaka wa fedha 2024, 2025. Ameyabainisha hayo Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi EDTCO Dismas Masawe mara baada ya kukutana Waandishi wa Habari […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kampuni ya Usimamizi wa mitaji Sanlam investment inayofanya kazi katika Nchi 25 za Afrika Masharikiย imeanza rasmi kufanya kazi nchini Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya CRDB ikilengaย kutoa fursa kwa Taasisi,Vikindi na mtu mmoja mmojaย kuwekeza kupitia mfuko maalum wa Sanlam pesa Money Market Fund unaotoa faida […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai leo Julai 9, 2024 Katika ukumbi wa Maofisa wa Polisi uliopo Oystabey Kinondoni amewakabidhi vyeti vya heshima askari 13 wa Jeshi la Polisi waliofanya kazi vizuri zaidi kwa mwaka 2023/2024 CP. Kingai amesema askari hao wamepewa vyeti […]