RAIS SAMIA ATOA ONYO KWA WANAOJIPITISHA MAJIMBONI KABLA YA WAKATI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amewaonya wanachama wa Chama hicho ambao wameanza kupitisha katika Kata na majimbo kufanya kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 kabla ya wakati. Akizungumza katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Mjini Dodoma ukiwa na ajenda ya kupitisha […]