MAFUFU: “TANZANIA IPO SHWARI,HATUDANGANYIKI,TUPO TAYARI KUPIGA KURA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wasanii wa filamu nchini,na wadau wa siasa, Jimmy Mafufu na Chiki Mchoma wamejitokeza hadharani kulaani vikali kauli za baadhi ya wanasiasa wanazodai zinatishia amani ya nchi. Wakizungumza na waandishi wa habari leo, Jimmy Mafufu amesema kuwa baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa wakitoa matamko yanayohamasisha uasi, jambo ambalo ni hatari kwa […]