MTENDAJI MKUU TARURA AMUAGIZA MKANDARASI KUKAMILISHA UJENZI WA NGUZO MBILI ZA DARAJA LA MUHORO KABLA YA MSIMU WA MVUA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Amtaka Mkandarasi barabara ya Utete-Kingupira kuwasilisha mpango kazi wake Rufiji, Pwani Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff amemtaka Mkandarasi MAC Contractor Ltd anayejenga Daraja la Mohoro lililopo Wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani kukamilisha ujenzi wa nguzo mbili zilizobakia kwenye ujenzi wa daraja hilo […]