VIWANDA VYOTE NCHINI KUFANYA KAZI
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Selemani Jafo amesema atahakikisha viwanda vyote vilivyowekezwa Tanzania anavisimamia ili viendelee kuzalisha na kuchangia uchumi na ajira kwa Watanzania. Dkt. Jafo ameyasema hayo Julai 08, 2024 alipotembelea Kiwanda cha Mbolea cha Itracom Fertilize Limited kilichopo Dodoma ikiwa ni baada ya kuingia ofisini kwake. Alisema jitihada […]