FEATURE
on Jul 24, 2024
367 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA GEITA NA KAGERA Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Geita na Kagera utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 05 hadi 11 Agosti, 2024 ambapo vituo vitafunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 24, 2024
255 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) – Mwenge – Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa 13.5. Pia, ujenzi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 24, 2024
234 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe,ย  Mhe.George Simbachaweneย  amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa heshima aliyowapa wananchi wa Kibakwe kwa kuwaletea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Mhe. Simbachawene ametoa kauli hiyo leo kwa nyakati tofauti wakati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 24, 2024
284 views 9 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZAMBIA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism) Kanda ya Afrika, Bi. Elcia Grandcourt, ambapo pamoja na mambo mengineย  kikao hicho kilijikita katika kuendeleza ushirikiano na Shirika hilo hususan, fursa na programu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 24, 2024
217 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema ni sehemu ya uhamasishaji wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia* Serikali kushirikiana na  Wadau upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia hadi vijijini* Tanzani yatajwa  kinara  Nishati Safi ya Kupikia* Naibu Waziri Nishati,  Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika mwaka huu wa fedha itatoa mitungi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 23, 2024
251 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imetoa msaada wa madawati 60 yenye thamani ya Shillingi Millioni 5 (5,000,000) kwa Shule ya Msingi Changarawe iliyopo kata ya Mzumbe, Kijiji cha Changarawe wilayaniย  Mvomero Mkoa wa Morogoro. Akikabidhi madawati hayo kwa niaba ya Kamishna wa TAWA katika hafla ya kukabidhi madawati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 23, 2024
336 views 4 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waipongeza Serikali ya Rais Samia kuboresha huduma za jamii* Waomba kujengewa Barabara kusafirisha mazao* Dkt. Biteko aagiza kukamilishwa, kutumika Zahanati Kijiji Ilyamchele* Awahakikishia ukarabati wa Barabara ipitike nyakati zote* Wananchi wa Kijiji cha Ilyamchele, Kata ya Namonge Wilayani Bukombe wameipongeza Serikali kwa kuboresha huduma mbalimbali za jamii katika Kata hiyo huku […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 23, 2024
274 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa(Mb) amewataka Wapangaji wanaokaa kwenye nyumba na majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi ya pango ili fedha hiyo itumike kujenga majengo mapya na kuboresha huduma katika majengo mengine ya Wakala huo. Bashungwa ametoa agizo hilo leo Julai 23, 2024 katika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 22, 2024
326 views 2 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Awataka kujindikisha na kujiandaa kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuchagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwenye uchaguzi mwaka huu ambao watakuwa mstari wa mbele kuleta maendeleo na kutatua changamoto zao kwa haraka. Dkt. Biteko ameyasema hayo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 22, 2024
355 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Kadi za mpiga kura zilizotolewa mwaka 2015 na 2020 ni halali na zitaendelea kutumika kwenye chaguzi kuu zijazo bila kujali mabadiliko ya jina la Tume ya Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Akizungumza wakati wa ziara aliyoifanya ya kukagua vituo vya kuandikishia wapiga […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...