FEATURE
on Jul 10, 2024
275 views 50 secs

Na JESHI LA POLISI DAR ES SALAAM Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama barabarani Tanzania DCP. Ramadhani Ng’anzi amesema tatizo la ajali za barabarani bado ni kubwa hivyo Jeshi la Polisi Kikosi cha usalama barabarani linafanya kila jitihada ili kuhakisha ajali zinatomezwa ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua madereva wasio tii sheria. Kamanda Ng’anzi ameyasema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 10, 2024
252 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Injinia Felchesmi Mramba amepongeza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Akiwa kwenye banda EWURA ndani ya Maonyesho ya 48 Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) leo tarehe 9Julai 2024 Mramba amesema bei ya huduma […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 10, 2024
181 views 8 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme EDTCO imejipanga kuhakikisha inakamilisha miradi mbalimbali ya Usambazaji Umeme  Nchini inakamilika katika kipindi Cha mwaka wa fedha 2024, 2025. Ameyabainisha hayo Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi EDTCO Dismas Masawe mara baada ya kukutana Waandishi wa Habari […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 9, 2024
313 views 48 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai leo Julai 9, 2024 Katika ukumbi wa Maofisa wa Polisi uliopo Oystabey Kinondoni amewakabidhi vyeti vya heshima askari 13 wa Jeshi la Polisi waliofanya kazi vizuri zaidi kwa mwaka 2023/2024 CP. Kingai amesema askari hao wamepewa vyeti […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 9, 2024
322 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mwanasheria wa Chama Cha Alliance For Democratic Change (ADC), ambaye pia Mjumbe wa Kamati ya Rufaa wa chama hicho, John Mbogo amesema wamejipanga kufanya mabadiliko madogo katika Katiba na Kanuni zinazohusu mchakato wa uchaguzi ili kuondoa migogoro kutokea baada ya kufanyika chaguzi ndani ya chama hicho. Akizungumza makao […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 9, 2024
325 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA TABORA Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa wito kwa wananchi na wapiga kura wa mkoa wa Tabora kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika kwenye mikoa hiyo kuanzia Julaiย  20 hadi 26,2024. Akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 9, 2024
267 views 2 mins

Na Happiness Shayo Morogoro Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wmetakiwa kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo iliyopo katika kuongeza tija na kuboresha utendaji kazi wa Mamlaka  hiyo. Rai hiyo imetolewa leo Julai 8,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) katika kikao chake na Menejimenti ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 9, 2024
231 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Selemani Jafo amesema atahakikisha viwanda vyote vilivyowekezwa Tanzania anavisimamia ili viendelee kuzalisha na kuchangia uchumi na ajira kwa Watanzania. Dkt. Jafo ameyasema hayo Julai 08, 2024 alipotembelea Kiwanda cha Mbolea cha Itracom Fertilize Limited kilichopo Dodoma ikiwa ni baada ya kuingia ofisini kwake. Alisema jitihada […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 9, 2024
231 views 31 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt Selemani Jafo amemuagiza Mkandarasi Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuongeza kasi ya ukamilishaji wa jengo la wizara hiyo kwa wakati. Dkt Jafo aliyasema hayo wakati alipotembelea Jengo la Wizara hiyo kugagua ujenzi unaoendelea mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo Julai […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 9, 2024
245 views 59 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt Selemani Jafo aliwasisitiza wafanyakazi wa wizara na taasisi zilizochini yake kufunga mkanda kuhakikisha sekta ya viwanda na biashara zinapiga hatua. Dkt. Jafo aliyasema hayo Julai 08, 2024 wakati akiongea na Menejimenti na Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biasharaย  wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...