MKUTANO WA (IAWP) KUJENGA UHUSIANO MZURI ASKARI WA KIKE TZ NA MATAIFA MENGINE.
Mkutano wa umoja wa Askari wa kike Duniani (IAWP) Kanda ya Afrika unaotarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam Julai 22-29-2023 unaotarajiwa kuongeza uhusiano baina ya Askari wa kike wa Tanzania na Askari wa nchi nyingine ambazo zitashiriki. Mwenyekiti wa Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-Net) Kamishna wa Polisi CP Suzan Kaganda amesema hayo leo baada ya […]