Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 50)
FEATURE
on Nov 25, 2024
103 views 55 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema baada ya michezo nguvu zielekezwe Novemba 27, 2024* Awataka kuchagua viongozi makini wenye uchungu na maendeleo* Asema CCM ndiyo chaguo SAHIHI* Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ameendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa […]

FEATURE
on Nov 24, 2024
143 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TANGA Yaibuka Mshindi wa 3 Mchezo wa Kuvuta Kamba (Me) Timu ya wavuta kamba (Me) ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) leo Novemba 23, 2024 imeibuka mshindi wa 3 katika mchezo wa Kuvuta Kamba baada ya kuishinda timu shindani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) katika mashindano ya […]

FEATURE
on Nov 24, 2024
129 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Tunataka Tuoneshe Afrika na Dunia Tanzania ni Nchi ya Demokrasia* Asema CCM Imejipanga Kushinda na Kuleta Maendeleo* Asema CCM Inataka Ushindi wa Heshima* Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema […]

FEATURE
on Nov 24, 2024
115 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema CCM haihitaji kubebwa kwani inabebwa na kuuzwa na kazi nzuri zinavyofanywa na madiwani, Wabunge na Rais Samia Suluhu Hassan. Makalla amesema hayo leo Novemba 24,2024 akizungumza na wananchi wa Jimbo la Ukonga […]

FEATURE
on Nov 23, 2024
163 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imetakiwa kuimarisha matumizi ya teknolojia, na kuhakikisha kwa kiasi kikubwa inafanya shughuli zake kidigitali ili kwenda sambamba na kasi ya ukuaji wa teknolojia hapa nchini na Duniani kote kwa ujumla wake Maagizo hayo yametolewa na Naibu Waziri wa Fedha nchini Hamad […]

FEATURE
on Nov 23, 2024
118 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Nov 23, 2024
165 views 10 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Na Mwandishi wetu – Dar es Salaam. Waziri wa Mambo wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa,  wakutana na wadau wa mawasiliano yakiwemo makampuni ya simu kujadili kuhusu Makosa ya uhalifu wa mtandaoni mkutano huo umefanyika leo Novemba […]

FEATURE
on Nov 22, 2024
256 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali kupitia Wizara ya Fedha imesema  inatambua mchango wa chuo cha kodi kwenye kutoa mafunzo ya kodi na forodha hivyo kuongeza makusanyo ya kodi kwenye Taifa. Hayo ameyasema  leo  jijini dar es salaam Naibu  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Elijah Mwandumbya akimwakilisha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kwenye Mahafali ya kumi […]

FEATURE
on Nov 22, 2024
141 views 56 secs

Na Mwandishi Wetu *T Ni katika  kuendeleza Sekta za Mafuta na Gesi* Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wafikia asilimia 47* Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati,  Dkt. James Mataragio amesema nchi za Tanzania na Uganda zitaendelea kushirikiana katika uendelezaji wa miradi mbalimbali ya Nishati ikiwemo Sekta ya Mafuta na Gesi. Dkt. Mataragio ameyasema hayo […]

FEATURE
on Nov 22, 2024
187 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu – Rukwa. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na  Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela ametoa wito kwa Wananchi  kuendelea  kumuunga mkono Rais, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan  kwa kuwachagua  Viongozi wa Serikali za Mitaa wa Chama Cha Mapinduzi. Mhe.Sangu ametoa kauli hiyo leo kwa nyakati […]