Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 58)
FEATURE
on Nov 4, 2024
203 views 3 mins

Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM HUDUMA usafirishaji wa mizigo na vipeto kimataifa kupitia Shirika la Posta Tanzania inaongezeka licha ya kushuka kwa kiasi kikubwa kati ya mwaka 2019 na 2021, kwa mujibu wa uchambuzi wa taarifa ya hali ya mawasiliano kufikia Septemba mwaka huu. Taarifa ya robo mwaka ya Julai hadi Septemba 2024 iliyotolewa […]

FEATURE
on Nov 4, 2024
120 views 5 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA WAKALA wa Usajili wa Leseni za Biashara (BRELA), Shirika la Miliki Ubunifu โ€˜Duniani World Interllectual Property Organizationโ€™ (WIPO), Shirika la Miliki Buinfu Kanda ya Afrika (ARIPO)naย  Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wanatoa mafunzo kwa wakufunzi watakaokuwa na jukumu la kufundisha wadau mbalimbali kuhusu umuhimu na faida […]

FEATURE
on Nov 3, 2024
163 views 50 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekutana na Mhe. Youssoufa Mohamed Ali, Katibu Mkuu wa Convention for the Renewal of the Comoros (CRC), chama tawala nchini Comoro. Mazungumzo hayo ya pande mbili, yaliyohusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya vyama hivyo, serikali na nchi hizo […]

FEATURE
on Nov 3, 2024
162 views 3 mins

Na. Joyce Ndunguru, Dar es Salaam Umoja wa Waigizaji Mkoa wa Dar es Salaam wapongezwa kwa kubeba maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kutangaza utalii.  Maneno haya yamesemwa Novemba 2, 2024 na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Saad Mtambule katika tamasha la “Shtuka, boresha afya ya […]

FEATURE
on Nov 2, 2024
123 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Shilingi bilioni 2 zimetolewa na REA kuendeleza mradi Utunzaji wa mazingira umepewa kipaumbele kwenye utekelezaji wa miradi Makete – Njombe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipa kipaumbele sekta binafsi kutekeleza miradi ya nishati ya umeme kwa kuwekeza katika sekta hiyo na kuwezesha fedha ili […]

FEATURE
on Nov 2, 2024
156 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Nov 2, 2024
333 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -MOROGORO WAKALA ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Gairo Mkoa wa Morogoro, imetekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan la kujenga daraja la mawe la Lebenya lenye urefu wa mita 45 linalounganisha Wilaya za Kilindi, Gairo na Kilosa mkoani Morogoro kutoka […]

FEATURE
on Nov 2, 2024
144 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -MAREKANI RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelezea dira yake ya kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula barani Afrika kupitia mikakati mitatu mikuu ya Serikali katika sekta ya kilimo. Akiwa nchini Marekani jana aliposhiriki kwenye mjadala kuhusu kilimo barani Afrika katika mji wa Des Moines, Iowa, Rais Samia alisisitiza kuwa Serikali […]

FEATURE
on Nov 2, 2024
177 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM WIZARA ya Nishati imetoa rai kwa mashirika na wadau mbalimbali nchini wakiwemo Puma Energy Tanzania kuendelea kushirikiana kufanikisha azma ya Serikali ya kuhakikisha inatekeleza ipasavyo mkakati wa taifa wa nishati safi ya kupikia unaolenga asilimia 80 ya wananchi kutumia gesi ifikapo mwaka 2034 . Akizungumza katika hafla ya […]

FEATURE
on Nov 2, 2024
212 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA