Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lengo ni kutangaza fursa za uwekezaji kwenye Mafuta, Gesi Asilia na Nishati Mbadala* Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga ameshiriki Jukwa la Mawaziri (Ministerial Symposium)ย nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemuย Kongamano la Wiki ya Mafuta Afrika (Afrika Oil Week) linalofanyika Jijini Cape Town. Jukwaa hilo pia limehudhuriwa na Naibu […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) inayofanya mazoezi kwenye uwanja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam na kusema kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassaan anamatumaini makubwa kuwa timu hiyo itafanya vizuri kwenye michezo yote miwili. Mheshimiwa […]
Na Veronica Simba โ WMA, Dar es Salaam Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, leo Oktoba 7, 2024 imefanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam na kujionea pamoja na mambo mengine, namna Wakala wa Vipimo (WMA) wanavyosimamia sekta ya mafuta. Meneja wa WMA Kitengo cha Bandari, Alfred Shungu amewaeleza […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Amwaga pesa knockout ya Mama Magomeni Wadau wa ngumi washushukuru sapoti ya Rais Samia RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametia mkono katika maendeleo ya mchezo wa masumbwi nchini Tanzania kwa kuamua kutoa zawadi kwa Watanzania wote walioshinda katika mapambano ya ngumi yanayofahamika kama ‘Knockout ya […]
Waziri Chana azindua Utalii wa Puto. Maboresho makubwa ya Miundombinu ya Utalii yaja Na Happiness Shayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi utalii wa puto ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Ruaha. Uzinduzi huo umefanyika leo Oktoba 7,2024 katika eneo la Korongo View ndani ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Maelfu ya wananchi wa mji wa Bariadi na vitongoji vyake waliofurika kwenye mkutano mkubwa wa hadhara mjini hapo wamemtuma Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kufikisha salamu zao kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa wanamhitaji agombee na aendelee kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Yashiriki Samia Kilimo Biashara Expo 2024 Kugawa majiko 790 Wilaya ya Gairo Yanatunza mazingira na rafiki kwa afya ya watumiaji Imeelezwa kuwa, Majiko Banifu yanayotolewa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika Maonesho ya Samia KILIMO Biashara Expo 2024 yanapatikana kwa gharama nafuu, yanatunza mazingira, yanadumu na rafiki kwa afya ya […]
Na Happiness Shayo-Morogoro Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amezindua rasmi zoezi la Sensa ya Wanyamapori lengo ikiwa ni kuhesabu Wanyamapori nchi nzima kwa uhifadhi wa rasilimali za wanyamapori, misitu ma kuendeleza utalii. Uzinduzi huo utakaogharimu takribani shilingi milioni 560 katika mfumo wa Ikolojia ya Nyerere – Selous – Mikumi yenye […]