Na Lusungu Helela DODOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu ameitaka Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) kushiriki kwenye Maonesha mbalimbali ya Ubunifu ili kuonesha uzuri wa mifumo iliyobuniwa pamoja na umahiri wa vijana walioandaliwa na Taasisi hiyo ili vijana hao waweze kupata soko kwenye Sekta […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imejidhatiti katika utatuzi wa changamoto ya migongano kati ya wanyamapori na binadamu chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameyasema hayo leo Septemba 27, 2024 katika Semina ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Awataka viongozi ngazi za Mitaa na Kata kuunga mkono juhudi za Mhe Rais kwa kuisemea vizuri miradi hiyo. -Atoa Rai kwa wakazi wa DSM kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa Novemba 2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, leo Septemba 27, 2024 amemshukuru Rais wa Jamhuri ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Timu ya Mpira wa Pete (Netball) ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) maarufu kama GST Queens imeibuka Mshindi dhidi ya Timu ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika mechi ya kirafiki. Mtanange huo umefanyika leo Septemba 26, 2024 katika viwanja vya Kilimani vilivyopo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia inalenga zaidi Wanawake Afrika Atilia mkazo Taasisi zinazolisha Watu kuanzia 100 kutumia Nishati Safi ya Kupikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema sasa ni wakati wa Bara la Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili […]
Na.Lusungu S. Helela- Kibakwe Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu amewataka Wazazi kutimiza jukumu la malezi ya Watoto badala ya kuwaachia walimu pekee yao kutokana na wimbi kubwa la mmonyoko wa maadili linaloikumba jamii. Amesema malezi ya wazazi kwa watoto ni muhimu sana hususan katika […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimesema kuwa kitaendelea kushirikiana kwa karibu na Uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ili kuboresha maslahi ya Watumishi wake pamoja na kuchangia katika ustawi wa Taasisi hiyo. Ahadi hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti wa TUGHE Taifa, Dkt. Jane Madete alipokuwa […]
Na Veronica Simba WMA DODOMA Imeelezwa kuwa ujenzi unaoendelea wa Ofisi Kuu ya Wakala wa Vipimo (WMA) unatarajiwa kukamilika Januari 2025. Mwakilishi wa Mtendaji Mkuu wa WMA, Karim Zuberi amemweleza hayo Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya aliyefanya ziara kujionea maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo eneo la Medeli jijini Dodoma, Septemba 27, […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kampuni ya Mtandao wa simu Airtel Tanzania leo imezindua promosheni mpya ya ‘JiBoost na Airtel Money’ ambayo i nawapa nafasi watumiaji wa Airtel Money kujipatia shilingi 20,000 taslim ya supa bonasi kupitia miamala ya kila siku watakayofanya. Aidha Mpango huo ni sehemu ya maono ya kampuni ya Airtel […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kampuni ya Mafia Boxing Production imeandaa pambano la Kimataifa lijulikanalo kama “Nock out ya Mama ” litakalofanyika Oktoba 5 Mwaka huu katika ukumbi wa City Centre Magomeni. Akizungumza na Wanahabari mapema leo Septemba 26,2024 Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo Anthony Nurgazi amesema kwamba pambano hilo litawakutanisha mabondia Ibrahim […]