Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 78)
FEATURE
on Sep 22, 2024
421 views 6 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu akiwa katika ziara ya kikazi  Wilayani  Uyui Mkoani Tabora amefika nyumbani kwa Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Uyui, Ashura Kangombe kwa ajili ya kutoa pole kufuatia msiba wa Mama […]

FEATURE
on Sep 21, 2024
282 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Na Happiness Shayo – Iringa Ujenzi wa Barabara ya Iringa – Msembe (km 104) kwa kiwango cha lami uliogharimu takribani shilingi bilioni 142.56 utasaidia  kukuza utalii wa  Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini hasa katika Hifadhi ya Taifa Ruaha kwa kurahisisha ufikaji wa watalii katika hifadhi hiyo. Hayo yamesemwa leo Septemba […]

FEATURE
on Sep 21, 2024
246 views 47 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Rais Samia ateta na vigogo Jeshi la PolisiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana amefanya mazungumzo na viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi, wakiongozwa na IGP Camillius Wambura. Kikao hicho kimefanyiia ikiwa ni siku chache baada ya kufanyika maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la […]

FEATURE
on Sep 21, 2024
493 views 54 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu wa zamani Jaji Joseph Warioba, ameipongeza Tume ya Haki Jinai iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema imefanya kazi nzuri katika kwa kufika katika maeneo mengi yenye faida kwa Taifa hususan katika upande wa demokrasia. Warioba aliyasema hayo jana katika majadiliano ya […]

FEATURE
on Sep 20, 2024
295 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anapaswa kutiwa moyo na kuungwa mkono kwa maendeleo makubwa anayoyafanya kwa ajili ya watanzania sio kubezwa au kumkejeli. Wakati Tansania inapata uhuru mwaka 1961 Tanzania ilikuwa na Chuo Kikuu kimoja ila kwa sasa ameimatisha sekta ya elimu na kuwa […]

FEATURE
on Sep 20, 2024
205 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kuokoa muda kwa ajili ya   shughuli za maendeleo Atoa wito kwa wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema uwepo wa Nishati Safi ya Kupikia kunamuokoa mtoto kike na athari (adha) zitokanazo na matumizi ya nishati isiyo […]

FEATURE
on Sep 19, 2024
213 views 33 secs

Na Mwandishi wetu Zanzibar Imeelezwa kwamba mpango mzuri wa ufuatiliaji na tathimini umewezesha Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kufikia malengo ambayo wamejiwekea katika kutekeleza dhima ya taasisi hiyo ya kujenga na kufanya matengenezo ya mtandao wa barabara za Wilaya nchini. Akiongea kwenye Kongamano la Tatu la Kitaifa la Wiki ya Ufuatiliaji,Tathimini na […]

FEATURE
on Sep 19, 2024
442 views 9 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ataka TANESCO kuongeza kasi utekelezaji miradi ya umeme wa gridi Aagiza majenereta ya umeme wa mafuta Kigoma kuzimwa mwishoni mwa 2024 Azindua ujenzi mradi wa umeme Malagarasi 49.5 MW Atoa neno kuhusu uchaguzi Serikali za Mitaa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme […]

FEATURE
on Sep 19, 2024
221 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kapinga asema lengo ni kuwafanya Watanzania zaidi ya asilimia 80 kutumia nishati safi ifikapo 2034. Kwa mwaka huu wa fedha mitungi laki nne kutolewa. Atoa rai kwa Watanzania kuendelea kuhamasishana matumizi ya nishati safi ya kupikia. Naibu Waziri Nishati,  Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kutekeleza mkakati wa nishati safi ya […]

FEATURE
on Sep 19, 2024
281 views 38 secs

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Nishati,  Mhe. Judith Kapinga Septemba 17, 2024 ameshuhudia fainali ya mashindano ya Doto Cup 2024  ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa. Mashindano hayo yameandaliwa na Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko. Mshindi katika fainali […]