Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Aliyekuwa Mgombea waย nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Alliance For Democratic Change (ADC) Doyo Hassan Doyo amesema hayatambui matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Shaban Itutu kama Mwenyekiti wa Chama kutokana na uchaguzi huo kutozingatia katiba ya Chama hicho. Doyo Hassan Doyo ambaye alionekana kutokuwa na upinzani […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Bwana Raymond Mndolwa, amewataka wahandisi na watumishi wa Tume kuheshimu, kusimamia na kutekeleza miradi kwa viwango na ubora. Amesema ni aibu kwa taasisi kuwa na miradi isiyokidhi viwango hivyo hatakuwa tayari kuona miradi hiyo inaiangusha serikali na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi. Mndolwa […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Jeshi la Polisi Kikosi cha Polisi Wanamaji kinaendelea na ufuatiliaji maalum kuanzia Meiย hadi Juni, 2024 katika kudhibiti uhalifu ukanda wa Bahari ya Hindi. Katika ufuatiliaji huo kikosi kazi cha Polisi Wanamaji Dar es salaam kikitumia boti za Polisi walifanikiwa kukamata majahazi mawili, MV. UKIMAINDI POA na jahazi lingine lisilokuwa na […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Heshimuni matumizi ya fedha za miradi* Wizara iwasaidie vijana kuanzisha kampuni na kuwapatia kazi ndogo ndogo ili kuwajengea uzoefu* Makandarasi wazawa kupewa kipaumbele katika malipo ya kazi walizofanya* Wakandarasi wanawake wapongezwa* ๐Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Makandarasi nchini kutekeleza miradi ya […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Kijiji cha Bima kimezinduliwa rasmi leo, Juni 28, 2024, katika Maonesho ya 48 ya Sabasaba yanayofanyika Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) na wadau wake wamekusanyika katika tukio hili muhimu kuashiria umoja wao katika sekta ya bima, wakilenga kuboresha huduma za bima kwa Watanzania na kuhakikisha soko […]
Na Happiness Shayo Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema kuwa katika kuhakikisha kunakuwapo na vyanzo endelevu vya uzalishaji wa mbegu bora za miti sambamba na ulimaji miti hiyo kibiashara, Serikali kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imeanzisha upandaji wa miti jamii ya Mninga katika mashamba yake ya Miti […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Amtaka Meneja kuhakikishaย anawasimamia vema mkandarasi Mradi kuleta tija kwenye upatikanaji wa Umeme Kishapu, Shinyanga Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga ameridhishwa na hatua mbalimbali za maendeleo katika upatikanaji wa huduma ya Umeme mkoaniย Shinyanga huku akimsisitiza mkandarasi mradi wa umeme wa Jua wilaya ya […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Asema ni chanzo cha mmomonyoko wa maadili* Ahusisha na ukatili wa kijinsia na mauaji ya Albino* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuzingatia utamaduni wao na katu wasiendekeze utamaduni wa kigeni kwan kwa kufanya hivyo ni sawa na kuuza uhuru wao kama nchi. Dkt. […]