Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 112)
FEATURE
on May 29, 2024
282 views 43 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk Samia Suluhu Hassan leo kupitia Katibu Mkuu wa chama hicho Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amekipatia chama wilaya ya Manyoni zaidi ya shilingi millioni 18 kwa ajili ya kuezeka jengo lake la kitega uchumi. Katibu Mkuu wa CCM alitangaza hayo mbele ya Kamati […]

FEATURE
on May 29, 2024
288 views 13 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) wamekutana na waandishi wa habari wa mtandaoni katika Semina waliyoiandaa kwa kushirikiana na Jukwaa la Wanahabari wa mtandaoni (JUMIKITA) leo Mei 29 ,2024, Imefanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam ” TRA ni Taasisi ya […]

FEATURE
on May 29, 2024
240 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA -Mamia ya Wananchi wa Jimbo la Ukonga wafurika kutoa kero zao -Akemea vikali tabia za baadhi ya viongozi kujipatia fedha kwa kuwatapeli watu wa kipato cha chini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Mei 28,2024 akiwa katika Mkutano wa hadhara Jimbo la Ukonga […]

FEATURE
on May 28, 2024
294 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA y Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu kazi vijana, ajira na wenye ulemavu, Deogratius Ndejembi ametoa rai kwa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania TUCTA kuweka mipango madhubuti ya kuwafikia na kuwapa elimu wafanyakazi wanaofanya kazi katika sekta isiyo rasmi waone umuhimu wa kujiunga katika vyama vya wafanyakazi ili wapate […]

FEATURE
on May 28, 2024
278 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA MKUU wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila Amesema barabara nyingi zime athirika wakati wa mvua na hii inatokana na barabara zilizotengenezwa Kwa uzembe Chini ya kiwango na zengine hazina mitaro na ujenzi wa wananchi waliojenga umeziba njia ya maji Hayo ameyasema Leo Tarehe 28 Mei 2024 […]

FEATURE
on May 28, 2024
342 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA MKUU wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila Amesema mkoa wa Dar es salaam umeharibika Kwa miundombinu ya mvua nyingi ambazo zilizoweza kunyesha na kuathiri Kwa ujumla miundombinu ya nchi Ameyasema hayo Leo Tarehe 28 Mei 2024 Katika viwanja vya ndege Terminal 1 Ambapo Mkuu wa mkoa […]

FEATURE
on May 27, 2024
196 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, amesema mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu ya Tanzania yanayofanywa na Serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan yataweka msingi imara wa mabadiliko yatakayowasaidia vijana wa Kitanzania kushindana […]

FEATURE
on May 27, 2024
445 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Serikali imesema itaendelea kutoa elimu kwa wananchi wanaoishi ndani ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro juu ya faida za kuhama kwa hiari wilayani Ngorongoro, mkoani Arusha, kwenda vijiji vya Msomera wilayani Handeni na Saunyi wilayani Kilindi mkoani Tanga na Kitwai wilayani Simanjiro, mkoani Manyara pamoja na maeneo mengine. Akizungumza leo 26 […]

FEATURE
on May 26, 2024
218 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Uvuvi barani Afrika (AFRICA SMALL SCALE FISHERIES SUMIT 2024) ambao utafanyika Julai 5-7 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo  unalengo la kuimarisha umoja wa Afrika […]

FEATURE
on May 26, 2024
240 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Matshidiso Moeti amesema umuhimu wa kujadili matokeo ya Kikundi Kazi kuhusu marekebisho ya Kanuni za Afya za Kimataifa (2005) na hatua iliyofikiwa na Bodi ya Majadiliano ya Serikali (INB) katika kuandaa na kujadili mkataba au makubaliano ya WHO […]