Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 48)
FEATURE
on Nov 29, 2024
158 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko afungua Kongamano na Mkutano Mkuu wa 7 wa AAMA* Awataka washiriki kubuni mbinu za kukabili changamoto zilizopo* IMO yaahidi kuendeleza ushirikiano kukabiliana na changamoto Bahraini* Dar es Salaam yampongeza Rais Samia kuboresha Bandari, kupunguza msongamano* ย Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri majini Barani Afrika zimetakiwa kushirikiana na kuungana […]

FEATURE
on Nov 28, 2024
172 views 19 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato leo Tarehe 27 Novemba 2024 amepiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo cha Chuo Huria Mtaa wa Migera – Nshambya Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.

FEATURE
on Nov 27, 2024
94 views 13 secs

Na Mwandishi Wetu-Rukwa Naibu Waziri, Menejimenti ya Utumishi wa Umma ma Utawala Bora Mhe.Deus Sanguย  amesisitiza umuhimu wa Wananchi wa Jimbo la Kwela kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku akibainisha kuwa uchaguzi huu ni fursa kwa wananchi kupata viongozi wa karibu wanaojuaย  changamoto zinazowakabiliย  za moja kwa moja katika maeneo yao. Mhe.Sangu […]

FEATURE
on Nov 27, 2024
188 views 19 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024.

FEATURE
on Nov 27, 2024
194 views 30 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA Novemba 27, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametimiza haki yake ya msingi ya Kikatiba baada ya kukamilisha zoezi la kupiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masaki Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam. […]

FEATURE
on Nov 27, 2024
112 views 35 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa viongozi watakaochaguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa kutumia vema nafasi hizo kuwaletea wananchi maendeleo. Makamu wa Rais ametoa wito huo mara baada ya kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Kihanga Kijiji […]

FEATURE
on Nov 27, 2024
111 views 44 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aungana na Wananchi kuchagua Viongozi Kitongoji cha Mheza* Ahimiza Watanzania kuendelea kujitokeza kupiga kura* Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga leo ameshiriki zoezi la kupigakura katika Kitongoji cha Mheza kijiji cha Mkumbi Halmashauri ya Mbinga Vijijini ili kuchagua viongozi wa eneo husika. Kapinga ameeleza kuwa, kwa kufanya hivyo ametimiza haki […]

FEATURE
on Nov 27, 2024
128 views 20 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DKT. Biteko apongeza Wananchi Kujitokeza kwa wingi* Awahimiza kujitokeza kuwachagua viongozi* Watanzania katika maeneo mbalimbali ya nchi wamejitokeza kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi wao ngazi ya Serikali za Mitaa. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametimiza haki yake ya Kikatiba katika Kata ya Bulangwa, […]

FEATURE
on Nov 27, 2024
184 views 3 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA