Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Kaskazini Bw. Godbless Lema anatuhumiwa na baadhi ya wanachama wa Chama hicho Mkoani Arusha kwa kuongoza kwa Ubabe na kupandikiza watu anaowataka yeye kwenye Nafasi mbalimbali zinazowaniwa kwenye Uchaguzi wa kuchagua Viongozi mbalimbali wa Chama hicho Kanda ya Kaskazini. Lema inadaiwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema watafutiwa leseni, kutaifishwa mali zao na kutoruhusiwa tena kufanya biashara nchini Atoa salamu za pole kwa waarithirika wa ajali ya jengo Kariakoo ๐Dar es Salaam.ย Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema Serikali haitosita kuwachukulia hatua kali Wachimbaji wote na wafanyabiashara wa madini ambao hawatafuata Sheria ya Madini na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema toka jana usiku hadi asubuhi ya leo Novemba 17,2024 watu watano (5) wameokolewa na kupelekwa Hospitali -Awatoa hofu wanaosema zoezi linakwenda taratibu asisitiza vifaa vyote vya uokozi vipo lakini kinachofanyika ni ustadi na akili zaidi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila akiongea na waandishi wa habari […]
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UWEZESHAJI TAASISI ZA UMMA YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BENKI YA TCB
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na Mwenyekiti wa kamati hiyo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es salaam. Muigizaji wa tamthilia na Filamu Nchini, Fredy Kiluswa amefariki Dunia.Taarifa za kifo chake zimethibitishwa baadhi ya wasanii wakiwemo @jb_jerusalemfilms na Steve Mengele almaarufu Steve Nyerere. Fredy ametamba na filamu na tamthilia mbalimbali ikiwemo tamthilia ya Mzani wa Mapenzi inayoonyeshwa katika channel ya Sinema Zetu ya Azam TV. Endelea […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi NEEC limeandaa kongamano la kuwawezasha wananchi kiuchumi ambalo litakalofanyika jijini dodoma disemba 3 na 4 Katika ukumbi wa eleki Ef Kongamano hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na wadau mbalimbali na mgeni rasmi Katika kongamano hilo ni waziri mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa ambaye yeye […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RAIS Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Jeshi la Polisi,Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na Idara ya Menejimenti ya Maafa kufanya kila linalowezekana kufanikisha zoezi la uokoaji na tiba kwa majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Simanzi yatanda mazishi yake Nchimbi: matukio ya kutia hofu na shaka, hayakubaliki MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan โameumizwa na kusikitishwa sanaโ na tukio la kuuwawa kwa Ndugu Christina Alex Kibiki, aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Amtaka Mkandarasi barabara ya Utete-Kingupira kuwasilisha mpango kazi wake Rufiji, Pwani Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff amemtaka Mkandarasi MAC Contractor Ltd anayejenga Daraja la Mohoro lililopo Wilayani Rufijiย Mkoa wa Pwani kukamilisha ujenzi wa nguzo mbili zilizobakiaย kwenye ujenzi wa daraja hiloย […]
Na Happiness Shayo – Serengeti Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua miradi ya kuendeleza utalii ikiwemo Mradi ya Barabara ya Utalii km22 uliogharimu takribani 761.3 na Mradi wa ujenzi wa Vituo Viwili vya kupokea na kukagua wageni(Ikona Gate na Visitors Gate) uliogharimu takribani shilingi milioni 143.5 katika Jumuiya ya […]