Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA: Bei za reja reja za mafuta kwa mwezi Novemba 2024 zimeendelea kushuka. Bei ya petroli kwa Dar es Salaam na Tanga imeshuka kwa asilimia 2.26 ambayo ni sawa na shilingi 68 kwa lita, huku Mtwara ikiwa imepungua kwa asilimia 2.16, ikilinganishwa na bei za mafuta za mwezi Oktoba 2024. Aidha, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kapinga ataja msamaha wa kodi asilimia 25 kwa injini za magari yanayotumia gesi asilia iliyotolewa 2023/2024 Aeleza Serikali ilivyojidhatiti kupeleka umeme kwenye maeneo yote nchini* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kupitia Bajeti Kuu Serikali ya mwaka 2023/24 Serikali ilitoa msamaha wa kodi ya ushuru wa forodha (customs duty) […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGAt ooh Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC (Output and Performance-Based Road Contract) uliosainiwa rasmi tarehe 07 Septemba 2018. Mradi huu ni wa muda mrefu (Long term contract) […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Mapato Nchini Tanzania( TRA) kwa kushirikiana na Shirika la viwango Zanzibar (SBZ) imesaini hati za makubaliano katika kwenda kurahisisha ufanyaji wa biashara kwa pamoja. Hayo yamesemwa Jijini Dar e salaam na Kamishina Mkuu wa mamlaka ya mapato nchini Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema kuwa TRA inasimamia shughuli za forodha […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Imeelezwa kuwa, miradi ya ufungaji wa mifumo ya umeme jua ipatayo 20,000 ipo mbioni kuanza katika maeneo ya visiwani na makazi yaliyo vijijini ambayo hayajafikiwa na Gridi ya Taifa. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy wakati wa kikao cha Menejimenti ya Wizara ya […]
Na Happiness Shayo- Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Makamanda wa Kanda na Wahifadhi Wakuu wa Mashamba na Wilaya wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kutumia Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuboresha utendaji kazi na kuchagiza utawala bora. Ameyasema hayo katika mkutano wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wadau takriban 400 kukutana Arusha* Kuhusisha majadiliano, kubadilishana uzoefu, fursa za uwekezaji* Dkt.Doto Biteko kuwa mgeni rasmi* Ufanisi wa Tanzania Matumizi Bora ya Nishati wapelekea EU kuongeza muda wa ufadhili* Imeelezwa kuwa, Tanzania kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) na Ubalozi […]
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amewataka wanachama wa CCM kutobweteka atika Uchagzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Kauli hiyo aliitoa jana Wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam katika siku ya kwanza ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -ZANZIBAR MAMLAKA ya Mapato Zanzibar (ZRA), imeendelea kutikisa wimbi la Makusanyo kwa kuvuka lengo la ukusanyaji mapato katika kipindi cha Oktoba, mwaka huu kwa kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 76.528 kati ya makisio ya kukusanya Shilingi bilioni 74.549 Akizungumza na waandishi wa habari jana Kaimu Kamishna Mkuu wa ZRA Said Ali […]