Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aiasa jamii kuwa na mtazamo chanya juu ya Nishati Safi ya Kupikia* Asema viongozi wataendelea kuhamasisha Nishati Safi ya Kupikia* Naibu Waziri Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amesema kuwa matumizi ya nishati safi ya kupikia yanaenda kuwaokoa watu wenye mahitaji maalum na kadhia zinazotokana […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -MWANZA RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuwaacha vijana katika uongozi wake na ndio maana amechagua viongozi wengi vijana wanaomsaidia kazi Serikalini, na hivyo kuahidi kushikana nao bega kwa bega. Kauli hiyo aliitoa jana Jijini Mwanza wakati wa akihutubiamaelfu ya wananchi katika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -GEITA RAIS Samia Suluhu Hassan amesema sekta ya madini nchini inachangia asilimia 56 ya fedha yote ya kigeni inayoingia nchini kila mwaka, na hivyo ni sekta muhimu kwa ukuaji wa uchumi, Kauli hiyo aliitoa jana mjini Geita, wakati akihutubia wakati akifunga maonesho ya saba ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini mkoani […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Awataka kushindana kwa hoja, akiwakabidhi jukumu zito Serikali za Mitaa_ _Asema โCCM itawashinda kwa namna ambavyo hawajawahi kushindwaโ_ Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana kwa hoja na […]
Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Wilaya ya ubungo Hassan bomboko ameendelea kuwahamasisha wananchi kujitokeza na kujiandikisha Katika Daftari la mkaazi Ili KUSHIRIKI uchaguzi na kumchagua viongozi wa serikali ya mtaa Amesema wamepita Maskani na Vijiwe vyote vya kata ya manzese kuhamasisha wananchi Kuitikia wito wa kujiandikisha “Ni wajibu wa kila Mwananchi wa Ubungo Kujitokeza na […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Onesho la Swahili International Tourism Expo (S!TE) mwaka 2024 limehitimishwa rasmi leo Jijini Dar es Salaam kwa mafanikio makubwa kwa kuingiza takribani wanununuzi 120 wa Kimataifa wa bidhaa za utalii. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Oktoba 13,2024 wakati akifunga Onesho hilo katika ukumbi wa Mlimani City,Dar es […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Asema ni mapumziko ya kitaifa, ili wananchi washiriki kupiga kura kikamilifu_ . _Asisitiza kila mwenye sifa ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa_ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassanย ameitangaza 27 Novemba mwaka huu, kuwa siku ya mapumziko ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Muanzilishi na Mratibu wa Tamasha la Samia Festival Hadija Mwanamboka amesema tamasha hilo ni mahususi kwaajili ya kuinua wabunifu wa mavazi nchini Tanzania Amesema hayo Octoba 11 Jijini Dar es salaam wakati wakitambulisha Tamasha hilo litakalo anza kufanyika Novemba 27 Jijini humo akieleza kuwa lengo kuu ni kuwapa jukwaa wabunifu kutengeneza […]
Utalii wa malikale wanadiwa Na. Joyce Ndunguru, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inashiriki maonesho ya Nane ya Kimataifa ya Swahili International Tourism Expo (SITE) yaliyozinduliwa Leo Oktoba 11, 2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa […]