Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 83)
FEATURE
on Sep 4, 2024
267 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TANAPA yaanza na mkakati wa kuboresha barabara zilizopo WADAU wa Utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti wameiomba Serikali kupatia suluhisho la kudumu la ujenzi wa barabara katika Hifadhi za Taifa hususani barabara ya Serengeti Akizungumza leo na waandishi wa habari ambao wametembelea eneo hilo, ambapo Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya […]

FEATURE
on Sep 4, 2024
329 views 2 mins

Na Pendo Magambo – WMA, Dar es Salaam Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) imewataka wafanyabiashara wa gesi kutumia mizani iliyohakikiwa na WMA ili kujiridhisha na usahihi wa uzito wa mitungi ya gesi kabla ya kuiuza kwa wateja. Wito huo ulitolewa Septemba 3, 2024 jijini Dar es Salaam na Afisa Vipimo Yahya Tunda kutoka WMA Mkoa […]

FEATURE
on Sep 4, 2024
312 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Afanya mazungumzo na Makamu wa Rais, Namibia, Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah* Nishati safi yapigiwa chapuo kimataifa kwa maendeleo na ustawi wa jamii* Namibia hasisitiza ushirikishaji wa vijana kuwezesha matumizi ya Hydrogen* Nchi washiriki wahimizwa kushirikiana badala ya kushindana* *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na […]

FEATURE
on Sep 4, 2024
184 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU  Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kujiimarisha kidiplomasia na itaongeza nguvu zaidi ili kuwawezesha Watanzania wengi kupata fursa mbalimbali katika jumuia za kimataifa. Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikisha kuimarisha ushirikiano baina ya nchi washirika na sasa mafanikio yanaonekana. “Rais wetu […]

FEATURE
on Sep 4, 2024
260 views 42 secs

Winga wa zamani wa Manchester United Anthony Martial, 28, amepewa mkataba na AEK Athens ambao utamfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi klabuni hapo. Mfaransa huyo alikua mchezaji huru wakati kandarasi yake United ilipoisha mwezi Juni. (Sport24 via Sun). Manchester United inamfuatilia kwa karibu beki wa kushoto wa Juventus mwenye umri wa miaka 23 kutoka […]

FEATURE
on Sep 4, 2024
291 views 39 secs

Mazungumzo yanaendelea kati ya Chelsea na AEK Athens kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa Ivory Coast David Datro Fofana, 21. (Mail) Tottenham wamefanya mazungumzo ya kumnunua kiungo wa kati wa Marekani Johnny Cardoso, 22, kwa £21m kutoka Real Betis. (Telegraph – Subscription Required) Kiungo wa kati wa zamani wa Liverpool Naby Keita, 29, yuko kwenye mazungumzo […]

FEATURE
on Sep 2, 2024
409 views 2 mins

Na.Joyce Ndunguru, Morogoro. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anaeshughulikia Maliasili, Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba asisitiza matumizi ya sheria na kanuni katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za uhifadhi. Kamishna Wakulyamba ameyasema hayoleo Septemba 1, 2024 wakati wa ziara ya kikazi aliyoifanya katika ofisi za Makao Makuu ya TAWA yaliyopo Mkoani Morogoro kwa […]

FEATURE
on Sep 2, 2024
463 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Serikali Kupitia wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA imefanikiwa kuongeza mtandao wa Barabara za Wilaya kutoka kilomita 108,946,19 Hadi kilomita 144,429,77 Mtendaji mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff Ameyasema hayo Leo September 2,2024 jijini Dar es salaam Katika kikao kazi Cha wahariri na waandishi wa habari […]

FEATURE
on Sep 2, 2024
253 views 17 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Marekani (USG) yatoa huduma za VVU na chanjo kwa takribani vijana 10,000 wenye umri wa miaka 15-24 kupitia mpango wa Ndondo Cup  Dar es Salaam. Ndondo Cup ya mwaka huu imekuwa zaidi ya mashindano ya soka ya kienyeji; imegeuka kuwa mpango muhimu wa uhamasishaji wa afya ya umma, ikitoa […]

FEATURE
on Sep 2, 2024
248 views 21 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amesema kuanzia sasa hataki kusikia changamoto zinazohusiana na Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi zikiwemo changamoto za abiria kukaa muda mrefu katika vituo wakisubiri usafiri ambapo amemuagiza mtendaji mkuu wa DART kushirikiana na UDART kuhakikisha mabasi mapya ya mwendo kasi yanafika […]