Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mwanasheria wa Chama Cha Alliance For Democratic Change (ADC), ambaye pia Mjumbe wa Kamati ya Rufaa wa chama hicho, John Mbogo amesema wamejipanga kufanya mabadiliko madogo katika Katiba na Kanuni zinazohusu mchakato wa uchaguzi ili kuondoa migogoro kutokea baada ya kufanyika chaguzi ndani ya chama hicho. Akizungumza makao […]
Na Happiness Shayo Morogoro Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wmetakiwa kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo iliyopo katika kuongeza tija na kuboresha utendaji kazi wa Mamlaka hiyo. Rai hiyo imetolewa leo Julai 8,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) katika kikao chake na Menejimenti ya […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Selemani Jafo amesema atahakikisha viwanda vyote vilivyowekezwa Tanzania anavisimamia ili viendelee kuzalisha na kuchangia uchumi na ajira kwa Watanzania. Dkt. Jafo ameyasema hayo Julai 08, 2024 alipotembelea Kiwanda cha Mbolea cha Itracom Fertilize Limited kilichopo Dodoma ikiwa ni baada ya kuingia ofisini kwake. Alisema jitihada […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt Selemani Jafo amemuagiza Mkandarasi Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuongeza kasi ya ukamilishaji wa jengo la wizara hiyo kwa wakati. Dkt Jafo aliyasema hayo wakati alipotembelea Jengo la Wizara hiyo kugagua ujenzi unaoendelea mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo Julai […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt Selemani Jafo aliwasisitiza wafanyakazi wa wizara na taasisi zilizochini yake kufunga mkanda kuhakikisha sekta ya viwanda na biashara zinapiga hatua. Dkt. Jafo aliyasema hayo Julai 08, 2024 wakati akiongea na Menejimenti na Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biasharaย wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Ampongeza Dkt. Biteko kwa kuiongoza vyema Wizara na TANESCO kwa utekelezaji wa miradi* Akagua vituo vya kupoza umeme Nguruka na Kidahwe* Aagiza ifikapo Septemba Kigoma iwe imeingia kwenye Gridi ya Taifa* Kapinga asema Wizara haitakuwa kikwazo cha wananchi kupata umeme wa uhakika* Makamu wa Rais, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpangoย ameipongeza […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Katibu wa itikadi na mwenezi na mafunzo CPA Amos Makala Amesema Jitihada za serikali ni kuona uboreshaji wa huduma Kwa wananchi wao Ameyasema hayo Leo Tarehe 08 Julai 2024 Katibu wa itikadi na mwenezi na mafunzo CPA Amos Makala Akiwa Katika ziara yake ya pili ya kusikiliza kero […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa viwanda na biashara Suleiman jafo Leo ametembelea Katika maonyesho 48 ya Kimataifa ya Sabasaba ambayo yanakuwa Kwa kila mwaka wa mwezi wa Saba na watu wa mataifa wote wanakuwa hapo Kwa ajili ya kutangaza biashara zao Waziri wa viwanda na biashara Suleiman jafo Amesema Katika maonesho […]
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo (Mb) ameihakikishia sekta binafsi hususani Wafanyabiashara naWawekezaji wa Viwanda kuwa watapata ushirikiano mkubwa katika kutatua changamoto mbalimbali za kibiashara ili kuhakikisha wanafanya biashara kwa chini ya uongozi wake. Ameyasem hayo Julai 5, 2024, alipokuwa akizungumza na baadhi ya Taasisi zilizochini ya Wizara yake zinazofanya kazi […]