MICHEZO
September 23, 2024
367 views 2 mins 0

YANGA YAKOMBOA MILIONI 30 ZA RAIS SAMIA

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Yafikisha milioni 85, wamshukuru Rais KLABU ya Yanga, imeendelea kutembelea upepo mzuri wa kuvuna mamilioni ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Yanga juzi usiku visiwani Zanzibar, imewafunga kuwafunga magoli 6-0 timu ya CBE ya nchini Ethiopia, hivyo kupata Sh Milioni 30 za Rais Samia, […]

MICHEZO
September 19, 2024
277 views 38 secs 0

KAPINGA ASHUHUDIA FAINALI DOTO CUP 2024

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Nishati,  Mhe. Judith Kapinga Septemba 17, 2024 ameshuhudia fainali ya mashindano ya Doto Cup 2024  ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa. Mashindano hayo yameandaliwa na Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko. Mshindi katika fainali […]

MICHEZO
September 11, 2024
251 views 32 secs 0

RAIS SAMIA AMETOA KIASI CHA MILION 30KWA AJILI YA TIMU YA TAIFA YA WASICHANA ‘SERENGERI GIRLS ‘

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Million 30 ajili ya timu taifa ya wasichana ‘Serengeti Girls’, ubingwa wa UNAF U-17 zilizofanyika Tunisia 2024. Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt.Damas Ndumbaro akiwakabidhi fedha hizo wachezaji hao kwenye makao makuu ya Shirikisho la mpira […]

MICHEZO
September 04, 2024
248 views 42 secs 0

WINGA WA ZAMANI WA MAN U ANTHONY MARTIAL APEWA MKATABA NA AEK ATHENS

Winga wa zamani wa Manchester United Anthony Martial, 28, amepewa mkataba na AEK Athens ambao utamfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi klabuni hapo. Mfaransa huyo alikua mchezaji huru wakati kandarasi yake United ilipoisha mwezi Juni. (Sport24 via Sun). Manchester United inamfuatilia kwa karibu beki wa kushoto wa Juventus mwenye umri wa miaka 23 kutoka […]

MICHEZO
September 04, 2024
285 views 39 secs 0

TOTTENHAM KUMNUNUA KIUNGO WA KATI WA MAREKANI JOHNNY CARDOSO

Mazungumzo yanaendelea kati ya Chelsea na AEK Athens kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa Ivory Coast David Datro Fofana, 21. (Mail) Tottenham wamefanya mazungumzo ya kumnunua kiungo wa kati wa Marekani Johnny Cardoso, 22, kwa £21m kutoka Real Betis. (Telegraph – Subscription Required) Kiungo wa kati wa zamani wa Liverpool Naby Keita, 29, yuko kwenye mazungumzo […]

MICHEZO
September 02, 2024
245 views 17 secs 0

USG YATOA HUDUMA YA VVU NA CHANJO TAKRIBANI VIJANA 10,000 KUPITIA NDONDO CUP

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Marekani (USG) yatoa huduma za VVU na chanjo kwa takribani vijana 10,000 wenye umri wa miaka 15-24 kupitia mpango wa Ndondo Cup  Dar es Salaam. Ndondo Cup ya mwaka huu imekuwa zaidi ya mashindano ya soka ya kienyeji; imegeuka kuwa mpango muhimu wa uhamasishaji wa afya ya umma, ikitoa […]

MICHEZO
August 26, 2024
514 views 3 mins 0

LIGI YA BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 YAHITIMISHWA KWA KISHINDO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe Mkoani Kagera. Mashindano hayo […]

MICHEZO
August 22, 2024
274 views 52 secs 0

KAMATI YA MAANDALIZI AFCON 2027 YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Taifa ya maandalizi ya fainali za ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027 imekutana leo Agosti 22, 2024 Jijini Dar Es Salaam kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupitia na kuridhia mapendekezo ya uundwaji wa kamati ndogo pamoja na Sekretarieti ya Kamati hiyo. Kamati hiyo inayoongozwa na Mhandisi Leodgar Chila […]

MICHEZO
August 07, 2024
261 views 4 mins 0

SIMBA WAKIFUNGWA WAFURAHIE TU: MANARA

NA Anton Kiteteri Awambia wanayanga waje waone mpira wa hesabu. Dar es Salam KATIKA kuelekea mchezo wa leo wa Ngao ya Jamii kati ya watani wa jadi Simba na Yanga,msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amewambia wanachama na mashabiki wa Simba wafurahie hata kama watafungwa kwa maana watakuwa wamefungwa na timu bora. Manara  ambaye […]